Back to homeWatch Original
Peter Macharia aliuawa kwenye maandamano ya saba saba
video
August 9, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Familia ya Peter Macharia, kijana aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika kaunti ya Kirinyaga wakati wa maandamano ya kumbukumbu za sabasaba mwaka huu sasa inaitaka serikali kuhakikisha kuwa mauaji ya kiholela ya vijana yamekomeshwa, wakisema kuwa fidia pekee haitoshi...