Back to home

Kilimo Cha Matumaini Kufufua Maisha Marsabit

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 10, 2025
4mo ago
Kaunti ya Marsabit ni mojawapo ya maeneo yaliyo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na ukame nchini. Kwa miaka mingi, wakaazi wa kaunti hiyo, wametegemea ufugaji kama njia ya kujikimu kimaisha. Hata hivyo, kutokana na kuongezeka kwa visa vya ukame na mafuriko maeneo ya kaskazini, wak
Advertisement
Kilimo Cha Matumaini Kufufua Maisha Marsabit (Video)