Back to home
Gachagua amjibu Kindiki, akataa kuhojiwa na polisi
video
C
Citizen TV (Youtube)August 10, 2025
4mo ago
Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali matamshi ya naibu rais Kithure Kindiki na waziri wa usalama kipchumba murkomen kuwa anapaswa kuandikisha taarifa na idara ya upelelezi kwa matamshi yake ya punde kuhusu ugaidi. Akizungumza kwenye ziara yake ya marekani, Gachagua am
Advertisement




