Back to home

Ruto: Sitishwi na vitisho vya ‘wantam’, nitaendeleza maendeleo

video
August 10, 2025
16h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais william ruto amewakashifu viongozi wa upinzani akiwaonya dhidi ya kumrushia vitisho vya kuwa rais wa muhula mmoja pekee. Akihudhuria ibada ya jumapili katika eneo bunge la Limuru kaunti ya Kiambu, Rais Ruto ambaye baadaye alizuru mradi wa nyumba za serikali eneo hilo alisema..