Back to home

Kijiji cha Kotombo chaomboleza vifo vya 26 wa ajali ya barabarani

video
August 10, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kijiji cha Kotombo kaunti ya Kisumu kimeanza mipango ya mazishi baada ya watu 26 kufariki kufuatia ajali ya barabarani ijumaa iliyopita. Huku waliofariki wakitarajiwa kuzikwa jumamosi ijayo, Familia hizi zimesalia kwenye msiba ambao wengi wameutaja kuathiri jamaa waliohusiana. Ka..