Back to home

Eliud Lagat apinga mashtaka kuhusu mauaji ya Ojwang'

video
August 11, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mkurugenzi wa Mashtaka ya umma na mkuu wa sheria wamepewa nafasi ya mwisho kutoa majibu katika kesi iliyowasilishwa mahakamani kumtaka Naibu Inspekta Jenerali wa polisi Police Eliud Lagat kushtakiwa kwa mauaji ya mwalimu Albert Ojwang..