Back to home

Dismas Indiza aonyesha dalili ya kushinda raundi ya nne ya mashindano ya gofu ya Sunshine

video
August 11, 2025
2w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Dismas Indiza ameonyesha dalili ya kushinda raundi ya nne ya mashindano ya gofu ya Sunshine ya Afrika mashariki, ambayo yanafanyika katika uwanja wa Diamonds Leisure Golf Resort mjini Diani kaunti ya Kwale. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and ever..

Dismas Indiza aonyesha dalili ya kushinda raundi ya nne ya mashindano ya gofu ya Sunshine (Video)