Back to homeWatch Original
Ruto aahidi milioni 5 na nyumba za serikali kwa Stars wakishinda Zambia na kufika robo fainali CHAN
video
August 11, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
KILA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS SASA ATAPEWA SHILINGI MILIONI 5 siku ya JUMAPILI , ENDAPO ITASHINDA MECHI DHIDI YA ZAMBIA . AKIZUNGUMZA ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI HAO LEO ASUBUHI, RAIS RUTO, PIA AMEAHIDI NYUMBA ZA SERIKALI KWA WACHEZAJI HAO WATAKAPOFIKA ROBO FAINALI NA NUSU FAINAL..