Back to homeWatch Original
Mzee Kajiado akataa kumuozesha binti, amrudisha shuleni licha ya kujifungua
video
August 11, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mzee mmoja kaunti ya Kajiado ameonekana kukaidi tamaduni na kukataa kumuozesha mwanawe licha ya kuwa alijifungua akiwa bado mtoto. Mzee Motonka Kipas badala yake akiamua kumlea bintiye wa miaka 15 na mjukuu wake, akisema ni lazima arudi shuleni kuendelea na masomo yake..