Back to homeWatch Original
Mzee aishi Pangoni
video
August 12, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kwa kawaida binadamu huishi makazi ya hadhi kwa kiasi fulani. Ila kwa mzee moja kaunti ya Migori, uamuzi wake wa kujenga makao na kuishi kwenye timbo limewashangaza wengi haswa wanakijiji wa nyamilu . Johnson Nyagana, mwenye miaka 90 ameishi sehemu hiyo kwa zaidi ya miaka 30 huku..