Back to homeWatch Original
Wakulima wameanza kilimo cha Mpunga Butula
video
August 12, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Licha ya mpunga kuchukuliwa kuwa mmea unaopandwa katika maeneo ya nyanda za chini yaliyo na maji mengi, wakulima katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wameanza kukumbatia kilimo hicho. Ni kilimo ambacho kimeanza kupata umaarufu kwa kasi miongoni mwa wakulima, utafiti ukibai..