Back to homeWatch Original
Motonka Kipas amemlinda mwanawe kwa ndoa za utotoni
video
August 12, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mzee mmoja kaunti ya Kajiado ameonekana kukaidi tamaduni na kukataa kumuozesha mwanawe licha ya kuwa alijifungua akiwa bado mtoto. Mzee Motonka Kipas badala yake akiamua kumlea bintiye wa miaka 15 na mjukuu wake, akisema ni lazima arudi shuleni kuendelea na masomo yake..