Back to homeWatch Original
Zaidi ya wauguzi 400 wanashiriki mgomo
video
August 12, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wauguzi wanaohudumu chini ya muungano wa wauguzi tawi la Elgeyo Marakwet wameanza rasmi mgomo wao wakishinikiza serikali kuu na ya kaunti hiyo kuafikia matakwa yao ikiwemo ajira ya kudumu na kupandishwa vyeo..