Back to homeWatch Original
Dhiki ya kina mama wachanga katika hospitali za Kajiado
video
August 12, 2025
19h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wasichana wadogo wanapata dhiki kujifungua katika baadhi ya hospitali za kaunti ya Kajiado wakilalamikia manyanyaso na kutelekezwa kwasababu ya umri wao mdogo.Ndio madhila waliyopitia wasichana wawili wenye umri wa miaka 14 na 15 baada ya kubeba mimba na kufikia wakatiw a kujifun..