Back to homeWatch Original
Watu wawili wanauguza majeraha Litein
video
August 13, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Watu wawili wanauguza majeraha baada ya gari walilokuwa wameabiri katika eneo la Litein kugonga mti. Inadaiwa kuwa dereva wa gari hilo la umma alishindwa kulithibiti kwasababu alikuwa akimenyana na afisa wa polisi wa trafiki..