Back to homeWatch Original
Kenya yatozwa faini ya milioni 6.5 na CAF | Yaonywa kuhusu kupokonywa uenyeji wa mechi!
video
August 13, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
KENYA SASA ITALAZIMIKA KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI SITA UNUSU KWA UKIUKAJI WA TARATIBU ZA KIUSALAMA WAKATI WA MECHI KATI YA KENYA NA MOROCCO JUMAPILI. SHIRIKISHO LA SOKA BARANI AFRIKA (CAF) PIA LIKIONYA KUWA KENYA IKO KWENYE HATARI YA KUPOKONYWA HAKI YA KUWA MWENYEJI WA MECH..