Back to home

Wanawake wa Narok Watembea Safari Ndefu Kutafuta Kuni

video
August 13, 2025
3h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakati Wakenya wengi wakielekea kila siku kutafuta riziki kupitia biashara, ajira au kilimo, baadhi ya wanawake katika eneo la Transmara Magharibi, Kaunti ya Narok, wanapitia safari ngumu zaidi wakitembea takriban kilomita 20 kila siku wakikabiliana na hali mbaya ya hewa kutafuta..