Back to home

Hatari ya fisi Kajiado | Wakaazi wawili walazwa baada ya kushambuliwa

video
August 13, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakaazi wawili wa Kijiji cha Oleserian wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kajiado baada ya kushambuliwa na fisi usiku wa Jumanne. Wakaazi hao walijeruhiwa walipokuwa wakijaribu kuwaokoa mifugo wao kutoka kwa fisi huyo ambaye baadaye aliuawa na wenyeji katika harakati za kujil..