Back to homeWatch Original
Kindiki amsuta Gachagua kwa Siasa za Matusi | Amtaka kuzingatia sera
video
August 13, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Naibu Rais Kithure kindiki amemuonya mtangulizi wake Rigathi Gachagua Dhidi ya kuendelea siasa za matusi, kama ndoano yake ya kujitafutia umaarufu nchini. Badala yake Kindiki akimtaka Gachagua kutumia sera za kueleweka kujipa umaarufu..