Back to homeWatch Original
Serikali kuzika miili ya Shakahola isiyotambuliwa, Murkomen asema
video
August 13, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
SERIKALI HUENDA IKALAZIMIKA KUZIKA MIILI YA WATU WALIOFARIKI SHAKAHOLA, KAUNTI YA KILIFI, BAADA YA ZOEZI LA KUTAMBUA MIILI KUSITISHWA BAADA YA SHUGHULI YA KUTOA SAMPULI ZA UCHUNGUZI WA DNA KUKOSA KUFAULU. WAZIRI WA USALAMA KIPCHUMBA MURKOMEN, AMESEMA KUWA MIILI ITAKAYOBAKI ITAZIK..