Back to home
Kongamano la 9 la ugatuzi limezinduliwa rasmi huku sekta ya afya ikiwa miongoni mwa mada kuu
video
N
NTV Kenya (Youtube)August 13, 2025
3mo ago
Kongamano la 9 la Ugatuzi limezinduliwa rasmi na Rais William Ruto katika Kaunti ya Homa Bay, huku sekta ya afya ikiwa miongoni mwa mada kuu iliyojadili matumizi ya teknolojia shirikishi na bunifu ili kufanikisha huduma ya afya kwa wote, kwa manufaa ya kukuza uwazi na ufanisi.
Advertisement



