Back to home
IEBC yasema kuwa inalenga kuwahamasisha vijana kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao
video
N
NTV Kenya (Youtube)August 13, 2025
3mo ago
IEBC imesema kuwa inalenga kuwahamasisha vijana kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao, ikiwaeleza kuwa licha ya idadi yao kubwa, hawajitokezi kutekeleza haki zao za kidemokrasia.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates
Advertisement


