Back to home

IG Kanja ashtakiwa kwa madai ya kuchukua usimamizi wa malipo ya mishahara ya polisi kutoka kwa NPSC

video
August 13, 2025
15h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shirika la Sheria Mtaani pamoja na wakili Shadrack Wambui wamemshtaki Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kwa madai ya kuchukua usimamizi wa malipo ya mishahara ya polisi kutoka kwa Tume ya Kitaifa ya Huduma za Polisi (NPSC), kinyume na sheria. Subscribe to NTV Kenya chann..