Back to home

Kongamano la Ugatuzi Homa Bay

video
August 14, 2025
14h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kongamano la ugatuzi linaendelea katika kaunti ya Homa Bay ugatuzi kwa siku ya tatu sasa. Kongamano hilo linalenga kudadisi mafanikio na changamoto za kaunti chini ya mfumo wa ugatuzi. Magavana wanashinikiza majukumu ya kaunti yaandamane na fedha za kufanikisha majukumu yao..