Back to home

Rais Ruto azuru Migori | Aahidi maendeleo na kusifia 'handsheki'

video
August 14, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

RAIS WILLIAM RUTO HII LEO AMEZURU KAUNTI YA MIGORI AMBAKO AMEENDELEZA KAMPENI YA MAENDELEO AKIWATAKA WENYEJI WA MIGORI KUWA TAYARI KUSAHIHISHA MTIHANI WAKE DEBENI MWAKA WA 2027. RAIS RUTO AMBAYE ALIFANYA KIKAO ENEO LA AWENDO NA MAENEO MENGINE YA KAUNTI HIYO AMESEMA SERIKALI SASA ..