Back to home

Isiolo: Wahudumu wa afya ya jamii wasitisha huduma zao wakilalamikia kutolipwa marupurupu yao

video
August 14, 2025
2d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wahudumu wa afya ya jamii (CHPs) katika Kaunti ya Isiolo wamesitisha huduma zao wakilalamikia kushindwa kwa serikali ya kaunti hiyo kuwalipa marupurupu yao kwa zaidi ya miaka miwili. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news upd..