Back to home

Kakamega wahudumu wa bodaboda wasema kampuni za kuuza mafuta wanayaficha ili wayauze kwa bei ghali

video
August 14, 2025
8h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Michezo ya shule za upili ukanda wa Afrika Mashariki inapoanza leo Kaunti ya Kakamega, wahudumu wa bodaboda kaunti hiyo wanaitaka serikali kuangazia kampuni za kuuza mafuta aina ya petroli kuachilia mafuta hayo ili kuwawezesha wao kuendelea na biashara yao. Subscribe to NTV Keny..