Back to homeWatch Original
Bungoma: Kijana mmoja awashangaza wengi kwa kumvalisha nguo, kumpamba na kumrembesha mbwa wake
video
August 14, 2025
2w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Kijana mmoja kwa jina Branton Wanjala, katika kijiji cha Emabusi, kaunti ndogo ya Bumula, Kaunti ya Bungoma, amewashangaza Wakenya kuhusu hatua yake ya kumvalisha nguo, kumpamba na kumrembesha mbwa wake. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. G..