Back to home

Likizo yageuka majonzi baada ya watoto wawili kuzama Mombasa

video
August 14, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

WATOTO WAWILI WAMEKUFA MAJI MJINI MOMBASA, KWENYE TUKIO LILILOILAZIMU FAMILIA KUKATIZA LIKIZO YAKE MJINI MOMBASA. WATOTO HAWA WA MIAKA 13 NA 9 WALIZAMA KWENYE KIDIMBI CHA KUOGELEA MTAA WA NYALI. FAMILIA YA WATOTO HAWA ILIKUWA KWENYE LIKIZO KUTOKA NAIROBI..