Back to home

Maandamano ya Gen Z: Samuel Kinyajui atolewa risasi baada ya kuishi nayo kwa zaidi ya siku 400

video
August 14, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baada ya kuishi na risasi kwa zaidi ya siku 400 kutokana na maandamano ya Gen Z ya mwaka 2024, kwa sasa Samuel Kinyajui mwenye umri wa miaka 30 anaweza kutabasamu baada ya Hospitali ya Ladnan kumtolea risasi hiyo ambayo ilikuwa ikimzidishia uchungu na kutatiza shughuli zake za ki..