Back to home

Chan 2024: FKF kufahamisha umma kuhusu maeneo ya kutazama mechi

video
August 15, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shirikisho la soka nchini FKF linafanya uhamasisho kwa umma katika mitaa mbalimbali jijini Nairobi kuwarai wale ambao hawana tiketi za kieletroniki kutazama mechi kati ya Haramabe stars na chipolopolo ya Zambia katika maeneo yaliyoyengwa. Rais wa FKF Hussein Mohammed anaongoza sh..