Back to home

Jaji mkuu Martha Koome ataka mahakama kuachiliwa uhuru wake

video
August 15, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Jaji Mkuu Martha Koome ametetea uhuru wa idara ya mahakama akisema kamwe haitayumbishwa na shutuma kuhusu utendakazi wake. Koome akitoa hakikisho kuwa majaji wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia katiba..