Back to home
Rais Ruto asema kutowajibika kumelemaza maendeleo
video
C
Citizen TV (Youtube)August 15, 2025
1mo ago
Rais William Ruto sasa anadai kwamba Kenya imesalia nyuma kimaendeleo kwa sababu ya ukosefu wa uwajibikaji wa viongozi waliomtangulia, akijisifia kama ambaye amesukuma ajenda za maendeleo licha ya mawimbi makali ya upinzani.
President Ruto Announces Compensation for Protest Victims and KSh 21B Healthcare Law - August 2025
President William Ruto has announced that the government will compensate those affected by recent protests. This commitment aims to provide relief to individuals and businesses that suffered losses during the demonstrations. President Ruto also announced the passing of a KSh 21 billion budget law intended to provide free medical treatment for citizens. Separately, the President declared that Kenya's economy will not regress and can only get better. He also attributed the country's underdevelopment to a lack of accountability from previous leadership.
Ruto: Tumepitisha sheria ya budget ya Sh21bn kuhakikisha wananchi wanapata matibabu bila malipo
NTV Kenya (Youtube)
Video
Ruto: Tutalipa fidia kwa walioathiriwa na maandamano
NTV Kenya (Youtube)
Video
Ruto: Our economy will never regress to where it was, it can only get better
NTV Kenya (Youtube)
Video
4 stories in this topic
View Full Coverage