Back to homeWatch Original
Mashindano ya dunia ya ulengaji Shabaha
video
August 15, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mlengaji shabaha nambari moja wa Kenya masta Ibrahim Ndung'u anadhamiria kuishindia kenya dhahabu kwenye mashindano ya dunia ya IPSC ambayo yatafanyika mjini matlosana nchini afrika kusini kati ya septemba tarehe 11 na 28 mwaka huu...