Back to home

FKF Yafanya msafara wa kutoa hamasa Nairobi

video
August 15, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Shirikisho la Soka Nchini (FKF) limetoa hamasa kwa mashabiki wa soka nchini kuhusu umuhimu wa nidhamu uwanjani wakati wa kipute cha CHAN kinachopigwa katika uwanja wa Kasarani na Nyayo. Kwa ushirikiano na kampuni ya Royal Media Services, FKF Imefanya msafara jijini Nairobi na kus..