Back to homeWatch Original
Moto wateketeza nyumba 50 Mathare | Watoto wawili wajeruhiwa
video
August 17, 2025
8h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa Polisi hapa Nairobi wameanzisha uchunguzi kuhusu moto ulioteketeza kijiji cha Jangwani eneo la Mathare Area 4, na kuharibu nyumba zaidi ya 50. Aidha, watoto wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Kenyatta walikozalazwa kwa majeraha mabaya ya moto..