Back to home

Murkomen aonya wafadhili wa magenge ya uhalifu Kiambu na watengenezaji wa pombe haramu

video
August 18, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amelezea hofu ya kuibuka kwa magenge ya uhalifu eneo la kati, akisema serikali iko ange kukabiliana na wavunjaji sheria. Murkomen aliyeongoza kikao cha Jukwaa la Usalama kaunti ya Kiambu akionya kuwa wanaofadhili magenge haya watakabiliwa vika..