Back to home

Huduma za bima kurudi Nairobi Hospital baada ya mazungumzo mapya

video
August 18, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

USIMAMIZI WA HOSPITALI YA NAIROBI HOSPITAL UNASEMA UMEANZA MIKAKATI YA KUZUNGUMZA NA KAMPUNI ZA BIMA ILI KUREJESHA HUDUMA ZILIZOSITISHWA KUFUATIA KUONGEZWA KWA GHARAMA YA MATIBABU. AIDHA, BODI SIMAMIZI YA HOSPITALI HIYO IMESEMA TAYARI IMEONDOA NYONGEZA YA ASILIMIA TANO ILIYOKUWA ..