Back to home

Rais amewaonya wabunge wanaojihusisha na ufisadi

video
August 19, 2025
13h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais William Ruto sasa anasema wabunge wanaohusika na ufisadi na kula mlungula watakamatwa. Rais pia akifichua kuwa maseneta hudai hadi shilingi milioni 150 kutoka kwa magavana wanapofika mbele ya seneti kuhojiwa..