Back to home

Mashirika ya haki za binadamu yapinga mashtaka ya ugaidi dhidi ya waandamanaji waliokamatwa

video
August 19, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

MASHIRIKA MBALIMBALI YA KUPIGANIA HAKI ZA BINADAMU, MAWAKILI NA WAHUDUMU WA AFYA WAMEPINGA MASHTAKA YA UGADI WANAYOFUNGULIWA RAIA WALIOKAMATWA KWA KUHUSIKA KWENYE MAANDAMANO YA JUNI TAREHE 25 NA SABA SABA.MASHIRIKA HAYO YANADAI KWAMBA HATUA HIYO NI UNYANYASAJI KUTOKA KWA SERIKALI..