Back to homeWatch Original
Waakilishi wa wadi Kericho wadai udukuzi Kwenye kura ya kumng’oa Gavana Mutai, warekodi taarifa DCI
video
August 19, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waakilishi wadi 18 kutoka kaunti ya Kericho wamefikisha taarifa katika Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kuhusiana na madai kwamba watu wasio waakilishi wa bunge hilo walihusishwa na upigaji kura wa kumbandua mamlakani Gavana Erick Mutai kwa kutumia akaunti zao za kielektroniki. ..