Back to homeWatch Original
EACC yaendelea mpango wa kamati za kaunti
video
August 20, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya kukabiliana na ufisadi - EACC - inaendeleza mpango wa kuanzisha kamati za kuzuia na kukabiliana na ufisadi katika kaunti zote 47. kamati hizo zitatumiwa kuziba myanya ambayo imekuwa ikitumiwa kupora Mali ya umma. Michael Mutinda na taarifa hiyo...