Back to homeWatch Original
Wanafunzi zaidi ya 500 wafadhiliwa na KTDA
video
August 20, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wanafunzi zaidi ya mia Tano kutoka maeneo ya kilimo cha chai wapata ufadhili wa masomo ya juu kutoka KTDA foundation.Mpango huu wa ufadhili umefaidi zaidi ya wanafunzi 1,300 tangu kuzunduliwa ,huku viongozi wakisema lengo kuu ni kulea kizazi kipya cha wavumbuzi na viongozi wa mab..