Back to homeWatch Original
Ngoja ngoja za karo | Wanafunzi wa vyuo Vikuu walalamikia kutofikiwa na fedha za serikali
video
August 20, 2025
19h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Siku moja baada wizara ya Elimu kusema imetuma shilingi bilioni 9.46 kupiga jeki masomo ya zaidi ya wanafunzi laki tatu wa vyuo vikuu nchini, baadhi ya wanafunzi sasa wanasema wangali kupokea fedha hizo hadi sasa. Baadhi ya wanafunzi hawa wakilalamikia kupewa ilani na vyuo kwa ku..