Back to homeWatch Original
Mahakama yasitisha jopo la Ruto la kupambana na ufisadi
video
August 20, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
MAHAKAMA KUU IMESITISHA KAMATI MAALUM ILIYOTEULIWA NA RAIS WILLIAM RUTO HAPO JANA KWA DHAMIRA YA KUPAMBANA NA UFISADI. JAJI BAHATI MWAMUYE AMETOA AGIZO KUWA JOPO HILO HALIWEZI KUANZA KAZI YAKE HADI PALE MAHAKAMA ITAKAPOTOA MWELEKEO MWEZI SEPTEMBA KUFUATIA KESI ILIYOWASILISHWANA W..