Back to homeWatch Original
Hatma ya gavana wa Kericho itaamuliwa na seneti nzima wala sio kamati pekee
video
August 20, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hatma ya gavana wa Kericho Eric Mutai aliyebanduliwa na bunge la kaunti sasa itajumuisha bunge zima la seneti na wala sio kamati ya maseneta 11. Gavana Mutai akitarajiwa kufika kuanzia jumatano ijayo kujibu madai ya ufisadi na utumizi mbaya wa mamlaka uliosababisha kuondolewa ma..