Back to home

CHAN yafanikisha kuongeza idadi ya mashabiki watakaotazama mechi ya Harambee stars Kasarani

video
August 21, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Imekuwa afueni kwa wapenzi wa kandanda nchini baada ya serikali kutangaza kuwa shirikisho la kandanda barani Afrika limekubali kuongeza idadi ya mashabiki watakaotazama mechi moja moja katika uwanja wa Kasarani. Waziri wa Michezo Salim Mvurya sasa akisema mashabiki elfu 36 sasa w..