Back to home

Wanahabari wajeruhiwa na vifaa vay kazi kuibwa kwenye fujo za mapokezi ya Gachagua

video
August 21, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

WANAHABARI WA ROYAL MEDIA SERVICES, STANDARD GROUP NA TV 47 NI MIONGONI MWA WALE WALIOSHAMBULIWA KWENYE ZOGO LA LEO LILILOSHUHUDIWA WAKATI WA KUWASILI KWA KINARA WA DCP RIGATHI GACHAGUA KUTOKA MAREKANI. VIFAA VYA KAZI VYA WANAHABARI PIA VILIIBWA NA MAGARI KUVUNJWA KWENYE KIZAAZAA..