Back to homeWatch Original
Unyunyiziaji kutumia nguvu za umeme
video
August 22, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Ni afueni kwa wakulima wa mpunga katika kaunti ya Tana River baada ya idara ya unyunyiziaji maji mashambani kuanza mpango wa kutumia nguvu za umeme kuzalisha mchele..