Back to home

Viongozi wa Supkem Garissa wawashtumu viongozi

video
August 22, 2025
3h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baraza kuu la viongozi wa dini ya kiislamu - SUPKEM limekashifu matamshi ya baadhi ya wabunge kutoka eneo la Kaskazini Mashariki ambao wamehusisha baraza hilo na tuhuma za ufisadi kutokana na malipo ya usafiri wa mahujaji mwaka huu..